Sunday 29 December 2013

MAJUU KWELI NOMA, HILI NI SHINDANO LA KUMTAFUTA ANAEVUTIA KIMAHABA LILILOFANYIKA US..

MZEE WA UPAKO LUSEKELO AFUNGUKA BAADA YA KUPOKEA KIPIGO CHA MBWA MWIZI KUTOKANA NA WIZI WA PESA.

                        Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’.

 MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi jijini Dar es Salaam (GRC), Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ amekiri kuwa aliwahi kukamatwa kwa wizi wa pesa.

WANAUME WA3 FAMILIA MOJA WAOTA MATITI....!

VIJANA watatu wa familia moja ya  Felipe Ramirez, wamepata balaa kubwa baada ya kuota matiti yaliyosababisha kuchekwa na vijana wenzao waliokuwa wakiwaona kuwa ni mashoga.

Friday 27 December 2013

MTALAKA ANYOFOLEWA MDOMO, ALICHANGIWA NA ALIYEKUWA MUMEWE NA MKEWE MPYA

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linafanya uchunguzi kuhusu tukio la mume na mke kumshambulia mtalaka wake Faustina Komba (35) mkazi wa jiji la Mbeya kwa kumpiga ngumi, makofi na kumng'ata mdomo wake wa chini na kuuondoa wote.