Sunday 22 December 2013

HAWA NAO WAMEAMUA KUUZA PICHA ZAO ZA UCHI WAKIWA...... KWENYE MTANDAO







Nitabia ambayo imeibukia kwa siku za hivi karibuni hasa baada ya ujio wa mitandao ya kijamii Mitandao ya kijamii ina faida kubwa kwa jamii ila jamii wamekuwa wakitumia tofauti na malengo ya waanzilishi wa mitandao hiii kupiga picha za uchi na kuziweka mtandaoni imekuwa kitu cha kawida sana kwa siku hizi

Wakati haya yakiendelea tumeona kwa hapa nchini serikali imekuwa ikipiga vita ila tatizo ni kwamba vitu hivi mara nyingi vinafanywa na watu wawili tena wakiwa faragha inauma kuona na inahuzunisha kusikia . Inatakiwa kutambua kuwa wewe unaefanya matukio haya kwa sasa kuna siku utaitwa mama au baba jiulize siku mwanao anaziona picha kwenye mitandao utajisikiaje Jamani tubadilike

No comments:

Post a Comment