Sunday 15 December 2013

MJAMZITO AANGUKA TOKA GHOROFANI LEO ASUBUHI









Msichana huyu Mjamzito alianguka toka kwenye ghorofa ambapo mme wake anafanyakazi kama mjenzi.

Kwa sasa yupo mahututi, na tumuombee tukiamini maombi yetu kwa Mungu yatasaidia kumponya...Tutawaletea Habari zaidi Baada ya Kupata Mkasa Mzima..Stay tuned.

No comments:

Post a Comment