Sunday 29 December 2013

MAJUU KWELI NOMA, HILI NI SHINDANO LA KUMTAFUTA ANAEVUTIA KIMAHABA LILILOFANYIKA US..





MZEE WA UPAKO LUSEKELO AFUNGUKA BAADA YA KUPOKEA KIPIGO CHA MBWA MWIZI KUTOKANA NA WIZI WA PESA.

                        Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’.

 MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi jijini Dar es Salaam (GRC), Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ amekiri kuwa aliwahi kukamatwa kwa wizi wa pesa.

WANAUME WA3 FAMILIA MOJA WAOTA MATITI....!


VIJANA watatu wa familia moja ya  Felipe Ramirez, wamepata balaa kubwa baada ya kuota matiti yaliyosababisha kuchekwa na vijana wenzao waliokuwa wakiwaona kuwa ni mashoga.

Friday 27 December 2013

MTALAKA ANYOFOLEWA MDOMO, ALICHANGIWA NA ALIYEKUWA MUMEWE NA MKEWE MPYA

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linafanya uchunguzi kuhusu tukio la mume na mke kumshambulia mtalaka wake Faustina Komba (35) mkazi wa jiji la Mbeya kwa kumpiga ngumi, makofi na kumng'ata mdomo wake wa chini na kuuondoa wote.
 
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linafanya uchunguzi kuhusu tukio la mume na mke kumshambulia mtalaka wake Faustina Komba (35) mkazi wa jiji la Mbeya kwa kumpiga ngumi, makofi na kumng'ata mdomo wake wa chini na kuuondoa wote. 

SHILOLE AANIKA NYETI ZAKE LIVE.




KATIKA kile kilichoonekana kama wasanii wa Bongo Movies wana ‘aleji’ na kujisitiri miili yao, baada ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel, safari hii Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameanika sehemu zake za siri kweupe.

Thursday 26 December 2013

MWILI WA MAREHEMU WAKUTWA NA PIPI 17 TUMBONI ZA MADAWA YA KULEVYA NI BAADA YA KUPASULIWA MOROGORO.



MWILI wa marehemu, Khalid Abdul Kitala (47) ambaye ni mfanyabiashara wa Kariakoo

MTOTO ALIA NA KUSEMA: NIMECHOKA KUBAKWA NA BABA!



 
Mtoto aliyebakwa na  baba yake mzazi.
AMA kweli dunia sasa inaserereka! Katika hali ya kusikitisha, baba mzazi mwenye familia ya watoto watatu, mkazi wa Kambi ya Fisi jijini hapa, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumbaka binti yake wa kumzaa hadi mtoto akafungua kinywa na kusema: “Nimechoka kubakwa na baba.”

MKOROGO WAMTIA ADABU WEMA


Na Mwandishi Wetu
MISS Tanzania 2006 aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amevunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa, mkorogo umemtia adabu na anajuta kuutumia  mwilini mwake.

Wema Sepetu.
Akizungumza juzi na paparazi wetu ofisini kwake jijini Dar, Wema alisema  kuwa baada ya kwenda kliniki nchini China na kupata matatibu ya ngozi yake ambayo sasa imerudi kama mwanzo amejifunza kitu.

VITUKO HIVI SASA..FASHION MPYA YA CHUPI ZA WANAUME ZA MWAKA 2014 IKO TAYARI..!!


Hiyo ndio miongoni mwa sampuli za chupi mpya kwa ajili ya wanaume kwa mwaka 2014, kama unahisi

MWANAFUNZI ABAKWA, AOZA SEHEMU ZA SIRI



 
Denti aliyebakwa akiwa hospitali.
MWANAFUNZI au ‘denti’ wa kike,13, (jina linahifadhiwa) anayesoma darasa la tano katika shule ya Msingi Unyakumi, mkoani Singida, amefanyiwa unyama kwa kubakwa na kijana aliyemtaja kwa jina moja la Mapunda ambaye ni dereva wa bodaboda.

MWANAMKE AOZA MAKALIO YALIYOSABABISHWA NA MATUMIZI YA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO...!

Sunday 22 December 2013

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI APOST PICHA ZAKE ZA NUSU UTUPU MTANDAONI....



                      ''Maheeda'' gospel Singer.

HAWA NAO WAMEAMUA KUUZA PICHA ZAO ZA UCHI WAKIWA...... KWENYE MTANDAO







Nitabia ambayo imeibukia kwa siku za hivi karibuni hasa baada ya ujio wa mitandao ya kijamii Mitandao ya kijamii ina faida kubwa kwa jamii ila jamii wamekuwa wakitumia tofauti na malengo ya waanzilishi wa mitandao hiii kupiga picha za uchi na kuziweka mtandaoni imekuwa kitu cha kawida sana kwa siku hizi

MKE WA MTU APIGA PICHA ZA UCHI GESTI NA KUFANYA MAPENZI BAADA YA KUWA KERORO...!


NGONO VYUONI...WANACHUO WANASWA WAKIFANYA UCHAFU HOSTEL...NI CHUO MAARUFU JIJINI.

Baadhi ya madenti wa vyuo vikuu mbalimbali jijini Dar es Salaam, wameoza kwa matukio machafu ya ngono.

ANG'ATWA SIKIO NA HAWARA WA MUMEWE KISA WIVU WA MAPENZI




Mwenyezi mungu alieumba aridhi na mbingu alimtofautisha mwanadamu na wanya mnyama amepewa akili tuu bali mwanadamu amepewa akili na utashi .Ila kwa hali ya sasa yale wanayofanya wanadamu ni kama wanatumia akili tu bila utashi unyama matukio ya ajabu kimekuwa kitu cha kawaida sana kwa dunia ya leo

ANGALIA ALICHO KIFANYA RIHANNA


http://theclicktz.com/

Saturday 21 December 2013

Friday 20 December 2013

MREMBO MWINGINE ATUPIA PICHA ZA NUSU UTUPU FACEBOOK,



SIRI YA FIGA BOMBA YA LULU YAFICHUKA!


Stori:
SIRI ya muonekano mzuri wa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ imefichuka baada ya kubainika kuwa, amekuwa akifanya mazoezi kila siku kwa kwenda gym.

DIAMOND AFANYA PATI YA UFUSKA!

 
Diamond Platnumz akimmwagia manoti Halima Kimwana.
Stori: Hamida Hassan na Musa Mateja
KUFURU ya kufunga mwaka! Dogo anayejua kuzitumia vyema fursa muhimu, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ amefanya yake kwa mara nyingine, safari hii amefanya pati iliyojaa ufuska, Ijumaa

Monday 16 December 2013

MCHAGA ATEKETEZA NYUMBA KWA MOTO KISA WIVU WA MAPENZI

Nyumba ya familia moja huko mtaa wa Ugombolwa Kata ya Segerea jijini Dar imeteketezwa kwa moto usiku wa kuamkia leo mara baada ya baba wa familia hiyo kuhisi kuwa mke wake ana mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mwingine na kuamua kuichoma moto nyumba hiyo sababu ya wivu wa mapenzi.
Segerea, Dar es Salaam, Nyumba moja iliyopo Mtaa wa Ugombolwa Kata ya Segerea jijini Dar imeteketea kwa moto mara baada ya baba wa familia ya nyumba hiyo kuhisi kuwa mkewe ana mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mwingine.

KITU CHA MCHINA CHAZUA BALAA





Makalio ya mchina ya leta bala kwa wadada

PICHA ZA UTUPU ZA MWAGWA MTANDAONI



Utandawazi umeendelea kuwaangamiza dada zetu wanaopenda kuiga mambo wasiyoyajua.


Katika uchunguzi wetu, mtandao huu umefanikiwa kuzinasa picha za mrembo huyu akiwa katika
Mapozi tofauti ya nusu uchi.

TAHADHARI PICHA HIZI HAZINA MAADILI.....NI WAKUBWA TU NDIO WANARUHUSIWA KUTAZAMA...HIYARI YAKO!!!!


CLICK LINK HIZI

PIC 1. 

PIC 2

PIC 3

Sunday 15 December 2013

MCHUMBA WA MTU AADHILIKA BAADA YA PICHA ZAKE ZA NUSU UTUPU KUSAMBAA MITANDAONI

 
DADA huyu alijikuta akipata aibu kubwa baada ya simu yake iliyokuwa na picha nyingi za uchi kuibiwa na picha hizo baadae kusambaa. Imekuwa ni aibu sana kwake kwani sio lengo lake kusambaa picha hizo.

AVULIWA NGUO ZOTE BAADA YA KUTIMBA STENDI YA BASI NA KIMINI


Biashara  zote  zilisimama  kwa  muda  katika  stendi  kuu ya mabasi  ya  Bomet  nchini  kenya wikiendi  hii  baada  ya  kundi  kubwa  la  wanaume  kumvamia  mwanamke  mmoja  aliyekuwa  amevaa  kingua  kifupi  na  kisha  kumvua  huku  wengine  wakimchezea  nyeti  zake.....

MJAMZITO AANGUKA TOKA GHOROFANI LEO ASUBUHI









Msichana huyu Mjamzito alianguka toka kwenye ghorofa ambapo mme wake anafanyakazi kama mjenzi.

JAYDEE AUGUA GHAFLA....ALAZWA HOSPITALI YA PRIMIER.



Saturday 14 December 2013

NIMEAMUA KUGAWA NJE KWA SABABU MUME WANGU AMEZIDI USALITI.." MKE WA MTU!SOMA ZAIDI KISA HIKI HAPA...

 

 

Mimi nimeolewa miaka 15 sasa na tumejaaliwa watoto 4. Ndoa yetu ilipofikisha miaka 4-5 mume wangu alicheat, nikamkamata through sms akapinga sn lakini baadae alikubali akakiri kosa na kuomba msamaha. nikamsamehe